new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
Habari zenu wana JF?.
Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija kunyonya uchafu nyumbani kwako ni kiasi Gani?