Gari za kifakhari Dubai Police

Gari za kifakhari Dubai Police

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
attachment.php


attachment.php


attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1391752033.893537.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1391752033.893537.jpg
    50.1 KB · Views: 650
  • ImageUploadedByJamiiForums1391752086.249990.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1391752086.249990.jpg
    23.6 KB · Views: 507
  • ImageUploadedByJamiiForums1391752105.751125.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1391752105.751125.jpg
    26.5 KB · Views: 506
  • ImageUploadedByJamiiForums1391752126.332075.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1391752126.332075.jpg
    24.3 KB · Views: 500
Dubai kufa ni bahati mbaya. Kwetu kufa ni wajibu.
 
Hizi gari utawakimbia polisi kweli?
Ni nzuri sana.
 
Hata sisi tz tukiacha kutumikia siasa kuacha rushwa kutii sheria na kusimamia sheria na kufanya kazi kwa nguvu na uwadilifu tunaweza kutumia zaidi ya Gari hizi. Lakina hayo niliyo yasema yanawexekana aupaka tupate chanjo kama ile ya polio au nduwi tuchanjwe wtz wotd?
 
uzuri wake ni nini?, mbona sijauona au kukuelewa. zina rangu nzuri au zina speed kubwa au zina air condition au zina simu ndani polisi anapiga tu akitaka
 
uzuri wake ni nini?, mbona sijauona au kukuelewa. zina rangu nzuri au zina speed kubwa au zina air condition au zina simu ndani polisi anapiga tu akitaka

unaijua buggati wewe au unaisikia tu,hebu google
 
Kwa njia zetu za huku Bongo, hizo gari zitaishia kwenye lami tu, wahalifu watanunua Landcruiser mikonga, hapo itabidi police wasubiri vumbi litulie kwanza ili angalau walione Landcruiser mkonga limefika wapi.
 
Bongo haowezekani huku kwetu kila mti fisadi serkali fisadi wafanyabiashara mafisadi wananchi wanalilia mwanafunzi analilia ajiriwe awefisadi sas hiyo hela yakununuwa hio gari itatoka wapi nyambafu
 
interresting! when katiba mpya comes into existance,possession of such mavitu will be possible!
 
uzuri wake ni nini?, mbona sijauona au kukuelewa. zina rangu nzuri au zina speed kubwa au zina air condition au zina simu ndani polisi anapiga tu akitaka

Povu la nini? Acha wivu. Hapa zetu Cruiser na Defender kukidhi miundombinu ya Barabara zetu
 
Back
Top Bottom