Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
chukua gari yoyote ambayo ni hatchback car au compact ila kwa profile yako hata IST haikufai we tafuta Passo, Sienta, Porte au Vitz.Kwendea kazini na mishe zingine town, Ila siku nilitaka Kwenda home kilometer 500 hivi niweze pia Kwenda nalo
Usidanganywe kuchukua saloon/sedan hautaiweza!.

zipo sizijui jina ofisini Kuna mtu analo Yani utacheka mbele nyembamba kidogo nyuma pana ingefanana na hiyo alopewa qchila Ila enyewe IPO chini kidogo
