UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,384
- 980
- Thread starter
-
- #21
Nimeipenda hiii nitaufanyia kazi ushauri wakooUza kama scrap tu.
Magari Japan wameyaweka yaende "scrap yard" nyie.mnataka mtumie mpa watoto waje kurithi!
Miaka mitatu umekaa nalo bila tatizo, tosha, uza scrap nnuwa lingine.
PoaNimeipenda hiii nitaufanyia kazi ushauri wakoo
Brother bujibuji nifanyeje sasa au ndo sadaka tayariKuna jamaa Yuko Chato akiuona Moshi wa gari yako ataamini kuwa sadaka ya gari lako imepokelewa mbinguni
Mleta Uzi atakuwa amekoseawaza siku maji ya bahari yakaongezeka mita 13.4 kutoka usawa wa bahari
Huko kwenu hakunaga mafundi gari?Wadau mbona mmenikimbia kiaina okoeni jahazi waungwana karibia narudi safarinii
Kweli kabisa ila nimeleta hii mada hapa ili kupata ABC lengo ni pindi nikianza matengenezo nijue pa kuanziaa boss .Mleta Uzi atakuwa amekosea
Huko kwenu hakunaga mafundi gari?
Utapata ushauri lukuki hapa lakini mwisho wa mwisho lazima uwatafute fundi mechanics. Kama ni kuongeza knowledge kuhusu matatizo ya magari sawa.
Tafuta mafundi wakusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wapo Ila kutaka kujua abcd za tatizo inakuwa mwanzo mzuri hata unapozungumza na mafundi by the way nimeshawapeleka mafundi hawa was chini ya miti wananichanganya na majibu yao YANATOFAUTIANA SANA SANA kiasi cha kunipa mashaka ndo maana nikaja hapa kwa WATAALAMU mnipe mwongozoooMleta Uzi atakuwa amekosea

Haka kaushauri kako kila nikikaangalia nafurahi sana natamani kukaona mda woteeUza kama scrap tu.
Magari Japan wameyaweka yaende "scrap yard" nyie.mnataka mtumie mpa watoto waje kurithi!
Miaka mitatu umekaa nalo bila tatizo, tosha, uza scrap nnuwa lingine.
Uza kama scrap tu.
Magari Japan wameyaweka yaende "scrap yard" nyie.mnataka mtumie mpa watoto waje kurithi!
Miaka mitatu umekaa nalo bila tatizo, tosha, uza scrap nnuwa lingine.
Msumarii huuu sijui aliwaza nini huyu best yanguShubiri