Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari la hela nyingi Hapana, ila nunua hata ka spacio, au RAV4 old model, jamani kagari ka million 4 tu...