Gari ya wizi...

Gari ya wizi...

Anayenunua mwanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
Poa mkuu kuna jamaa mmoja kaniambia Ana muuzia dem mmoja Gari kama uliyo sema maana jamaa kaagiza hii hapa Ila dem mwenyewe kamwambia adi mwezi wa pili ndio ata pata pesa jamaa kaniambia waliishi jirani huko makumbusho!
2019-toyota-avalon-touring-test-109-1532368141.jpg

Kama Ana uziwa ni dem mwenyewe mfupi mweusi mwenye miguu mikubwa mikubwa mwambie ache wenge kama hakuwahi ishi makumbusho basi story zimegomgama Ila kama nimwenyewe nitakuwa nimekupa msaada wa kutosha, JF itakuwa imekusaidia!
 
Back
Top Bottom