Bonobo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 364
- 670
Habari wakuu..?
Wakat nafikiria hekaheka za kuachana na kuminyana kwenye mwendokasi, Kuna jamaa anataka kuniuzia premio new model yenye namba DA... kwa shillingi million 7.
Nipo najifikiria kwa hyo bei.. hisije ikawa jamaa anataka kuniuzia gari ya mbio( yani ya wizi).
Swali langu sasa... ntajiridhisha vip kuwa gar sio ya wizi?
Naombeni msaada wakuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums