Gari ya kukodisha iwe Iringa tu

Gari ya kukodisha iwe Iringa tu

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,488
Habari za jioni kama ambavyo kichwa cha habari hapo juu kinasomeka nahitaji gari ndogo ya kukodi naendesha mwenyewe gari iwe nzima na tair nzima maana ni kwa ajili ya masafa ya mikoani wewe mwenye gari unaona lipo tu halina matumizi sana na upo Iringa na unajuwa gari yako ipo vizuri kwa masafa karibu

Angalizo kwa gari hizi usinitafute landcruiser vx ,prado, BMW, na magari yote yenye kula wese sihitaji

Karibu PM tuyajenge
 
Ulichukua M3?
Tafuta 3 series utaipenda
Basi ngoja umenifumbua macho nitaitafuta hii kitu na vipi lakin inatembea au ndio mwendo wa harusi mkuu maana wengine hapa ni kumwagika tu
 
Unataka gar ya kukodi af masharti kibaoo,mara isile wese,mara iwe na speed,unataka ile nn? Unajua bei ya spea ww? Au unadhan gar n punda? We panda bas gar hutaiweza
Habari za jioni kama ambavyo kichwa cha habari hapo juu kinasomeka nahitaji gari ndogo ya kukodi naendesha mwenyewe gari iwe nzima na tair nzima maana ni kwa ajili ya masafa ya mikoani wewe mwenye gari unaona lipo tu halina matumizi sana na upo Iringa na unajuwa gari yako ipo vizuri kwa masafa karibu

Angalizo kwa gari hizi usinitafute landcruiser vx ,prado, BMW, na magari yote yenye kula wese sihitaji

Karibu PM tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawahi kumiliki gar? Je,likipata tatizo utaligaramia zirakua juu ya nani? Na nitakuamini vip kwamba u mtu mwema,hutaenda kulifanyia uhalifu? Ninalo kwa siku nataka lak

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo watu wengi wanaonifahamu na ikiwa linatoka kwako zima nitagharamikia mwenyewe likipata shida likiwa kwangu, bei siwezi kukubali kuwa tayari kutoa laki au la mpaka nijue ni aina ya gari gani na je hata ikitokea limepata tatizo uwezo wa kuhimili spear zake zipo vipi, kama kweli una gari na upo serous kwa hili njoo PM.

Tofauti na hapo utakuwa hujaamua na sitakujibu chochote hapa tena
 
Huna pesa ww! Kapande bus!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unaforce,nani atakupa gar yake? Au unadhan gar n baiskel?? Ka vp nunua lako acha kun'ang'ania ya wanaume! Ukiendelea kunifata fata ntakutatua marinda kwa mara ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa taarifa yako gari nimepata na niyamaana zaidi na tayari nipo nayo safarin nyumbu wewe
 
Back
Top Bottom