Gari ya CCM yakamatwa na mapanga, sime na marungu, wakimfuata Mathayo Torongey

Niko na katibu wa wilaya ya mufindi hapa Ubena ndugu Mtaturu na hio gari tuko nayo na hakuna mapanga wala visu ila adabu tutawashikisha kwenye sanduku la kura
.endeleeni kuwadanganya wananchi wasioeneo la tukio but subirini saa10 tutaheshimiana tu na hii ni zaidi ya kalenga.mods naomba usichanganye hii post na nyingine maana tukiwaacha hawa wachaga pori watapotosha sana umma.Hapa chalinze hawatapata hata asilimia 10 kwa hio wanatafuta sababu.

Naona wewe ndiye mchaga pori.Nyumbani kwenu ni mlowo kwa wanyiha ambako siyo uchagani chama chako kilicho kutoa matongotongo na kukupa ujanja kabla ya kununuliwa na CCM ni CHADEMA.
 
Hivi kama ccm wanaamini watashinda mapanga na visu vya nini?

Mbaya zaidi polisi nao wanafanya kazi ya ccm...........

poor Kikwete, poor Ridhiwani!!!

hakuna hata jimbo moja ambalo wana uhakika wa kushinda ndiyo maana hata hapo chalinze ambapo kikwete amekuwa mbunge kwa miaka 15 na baadae urais kwa miaka 9 sasa serikali imehamia chalinze kumpigania mtoto wa mfalme pamoja na madawa ya kulevya na pesa nyingi anayomwaga...
 
du malecela unanifurahisha sana leo bahari ni mchambuzi wa siasa
wapendwa ccm amani aina mbadala ikipotea wote tutakuwa mashakani ni vyema itikadi zetu zizitufanye tuhatarishe amani yetu
chungeni kauli zenu wapendwa sasa kama ridhiwani anauwakika wa kushinda mapanga ya nini?nondo za nini?
ccm mnashindiaga hila,hila zimewatawala na yupo MUNGU siku moja mtajiterka wenyewe
Wewe ni kibaraka wa ufipa hujui dunia inavyoenda,peleka propaganda huko, wenzio wanapiga mihela kupitia ruzuku wee unatumika kama punda hapa
 
hoja hawana wamebaki kutukana tu kweli chagadema ni SIKIO LA KUFA
waacheni watukane hasira zao za kalenga na za leo ziishe
Vijana wala bure wana miezi 22ya kutumbua hela za hazina wachina waarabu huyo raisi asiyejitambua na familia yake wote si roke model taabu sana jana kapita kikwete na msafara wa magari 21 wote wameenda kutumbua msoga fedha ya walipa kodi returning officer analolakufanya au kupitisha zungu la unga tu
 
Tutaheshimiana tu muda si mrefu mtapotea hapa mtandaoni.siasa za kikabila na kidini hapa hakuna rudini mkajipange upya.
Nasikia sharia ya Ushoga ikipitishwa hapa itakula kwako kwani wewe unawauzia 0713 Maccm yanayoendesha kampeni, Eti mpaka sasa una matege
 
sawa maana kura zinatafutwa kwa kutisha watu
kama ccm ni chama kubwa fitina na hila za nini?mnabahati tume ya uchaguzi ipo kama wasaidizi wenu
ni nchi ya ajabu sana hii
 
Niko na katibu wa wilaya ya mufindi hapa Ubena ndugu Mtaturu na hio gari tuko nayo na hakuna mapanga wala visu ila adabu tutawashikisha kwenye sanduku la kura
.endeleeni kuwadanganya wananchi wasioeneo la tukio but subirini saa10 tutaheshimiana tu na hii ni zaidi ya kalenga.mods naomba usichanganye hii post na nyingine maana tukiwaacha hawa wachaga pori watapotosha sana umma.Hapa chalinze hawatapata hata asilimia 10 kwa hio wanatafuta sababu.

Mambo, msalimie Shonza, hivi yupo,... simsikii kabisa siku hizi
 
Wewe ni mmoja ya wanaotembea na nondo, visu na mapanga,

Mlipoachiwa na polisiccm mnajiona kama mna hakimiliki ya nchi hii,

Dawa inaiva tu

Hivyo nyote si mlikua genge moja, mkishirikiana kwenye maovu, naona hivi sasa mnaumizani kwenye haki. Kikulach kii nduoni mwako. kuweni na subira na wachaneni na siasa za maji taka.
 
hakuna hata jimbo moja ambalo wana uhakika wa kushinda ndiyo maana hata hapo chalinze ambapo kikwete amekuwa mbunge kwa miaka 15 na baadae urais kwa miaka 9 sasa serikali imehamia chalinze kumpigania mtoto wa mfalme pamoja na madawa ya kulevya na pesa nyingi anayomwaga...
Sio wewe unayeongea, ni gongo tu hiyo
 
CHADEMA sebuleni acheni uongo

CHADEMA chumbani walishaa kula pesa ya Chalinze mbona Leo mbowe hajasema mtafia angani na chopa ??
Pesa acha iitwe pesa polen msiyojielewa maana ukweli ni kwamba CHADEMA haigombei Chalinze
 
Huna akili wewe ni kinyesi inaongea, hata chama kimejaa tele mpaka Mbeya unaongea kimavi wewe!!!
Kisago cha leo mtavaa chupi kichwani,wehu nyie. Mnanuka matusi ufipa hadi tengeru
 
Nasikia sharia ya Ushoga ikipitishwa hapa itakula kwako kwani wewe unawauzia 0713 Maccm yanayoendesha kampeni, Eti mpaka sasa una matege

Sasa haya uliyoyaandika ni nini?? bery pathetic and foolish, hii forum mnaiharibu, This language should be monitored and the subscriber banned. MOD
 
Sasa haya uliyoyaandika ni nini?? bery pathetic and foolish, hii forum mnaiharibu, This language should be monitored and the subscriber banned. MOD
Wewe ndiyo zezeta, tuache kumwambia mtu ukweli wake...Au ww ni mnunuzi nini?
 
acheni kupotosha umma hakuna issue yoyote hapa sisi tunasubiri vituo vifungwe Tuhashimiane.mapanga ya nini jamani hapa ni amani tu
 
Wanatumia hila na nguvu za dola ila Mungu yuko upande wa Chadema

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom