JFAdminstrator weken na forums ya magari/locomotive na vyenginevyo tupambuke kimawazo,
Kuna hoja ile ya nataka gari ya alteza. Au ile ya subari inanifirisi ni theard ambazo zimetupambua sana kuhusu magari maana wengine tuki goolge kizungu kina tupa kizungu zungu.
Pili mbongo anavyoelezea ni real life na maisha yetu sio mifano ya waarabu au waulaya wenyewe wanavyoeleza.
Tuanzishiwe forums ya MAGARI na vyombo vya usafiri
Brevis si gar ya kumshaur mtu anunuekachukue Brevis au progress...zote km Qatar airways ndani, zinakimbia sana na ulaji mafuta ni 9km kwa litre na 11.6 kama utaenda long route
Miaka hio ya 2014 halikuwepo boss.Mbona jukwaa lipo kitambo
Miaka hio ya 2014 halikuwepo boss.
Hio attachment kwangu haijafunguka,naomba uitume tena boss.Mkuu hii gari nimeambiwa ni Corolla.
Unaweza kuniambia ni Corola nini, yaani Gx 110, E 110, Sedan sijui nini.
View attachment 1470141
Hio attachment kwangu haijafunguka,naomba uitume tena boss.
Nimecheki bado attachment haifunguki kwangu mkuu.Nimw attach tena braza.
kwanini Boss au ninunue Noah? maana nina 6MBrevis si gar ya kumshaur mtu anunue