twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Ni kweli mkuu nilimaanisha mark11 Gx110Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana
Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。
Hahaha mpwa hujaelewa nini hapo?
verossa ndo on mpango mzima....grandee zishakuwa yeboyebo kaka..Verossa is my dream Car mwaka huu...
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani