Unaonaje na hili tangazo ungeliweka huko huko kwenye simu?Kuhusu bei ni vema muhitaji apige Simu atapata bei
Hata nikiweka bei mwisho wa yote lazima Simu ipigwe,ila binadamu tumetofautiana wewe unataka bei wenzako wanapiga Simu na bei washajua na wengine wanahitaji kuliona gari mubasharaKwanini usiweke bei mpaka mtu anapiga awe anajua...
Au unaogopa wataponda bei
Aya mkuu..ulikua ushauri tu.Hata nikiweka bei mwisho wa yote lazima Simu ipigwe,ila binadamu tumetofautiana wewe unataka bei wenzako wanapiga Simu na bei washajua na wengine wanahitaji kuliona gari mubashara
Kama huwez kuweka bei hapa bac tutolee hilo ngarangara hapa
Kuhusu bei ni vema muhitaji apige Simu atapata bei
Umemshauri vema sana lakini anaonekana si muuzaji.Aya mkuu..ulikua ushauri tu.
Na huu pia umepewa
Amesema bei yake ni milioni 99!Kuhusu bei ni vema muhitaji apige Simu atapata bei