kwani neno tipper lina maana gani, shule, shule , shuleHiyo ni tipa au canter?
kwani neno tipper lina maana gani, shule, shule , shuleHiyo ni tipa au canter?
Anataka uende chemba akakuumize. Anajua akiweka bei hapa watu wataharibu deal lake...Unaonaje na hili tangazo ungeliweka huko huko kwenye simu?
Weka bei
Kwanini usiweke bei mpaka mtu anapiga awe anajua...
Au unaogopa wataponda bei
Kama huwez kuweka bei hapa bac tutolee hilo ngarangara hapa
Kwanini usiweke bei mpaka mtu anapiga awe anajua...
Au unaogopa wataponda bei
Kama wewe sio dalali kwanini usitaje bei hadharani? Hiyo tabia ya kutotaja bei ni moja wapo ya tabia kubwa za madalali.
Amesema bei yake ni milioni 99!
No ya muhusika pse
Sasa mkuu unakomoana na wateja wako? Wao wana kosa gani? Kuulizia bei? Unafikiri wana shida sana na hiyo tipper yako mpaka uwazodoe hivi? Kabla ya wewe kuitangaza hapa, walijua uwepo wa hiyo tipper?Tipa bado ipo leo wateja wawili wamekuja kuiona wameenda kujipanga
Mnao subiri bei hapa endeleeni kusubiri tu.
Ukianza mwanzo utaona nani mwenye shida mi sijaweka bei kwa maana yangu wewe kwako iwe kosa,mbona waliolisoma hili tangazo ni wengi tu wako kimya sasa hawa wachache wao ndio wanajua sana biashara ya mtandao ? Mi nashauri kama kama tangazo halina umuhimu kwako achana naloSasa mkuu unakomoana na wateja wako? Wao wana kosa gani? Kuulizia bei? Unafikiri wana shida sana na hiyo tipper yako mpaka uwazodoe hivi? Kabla ya wewe kuitangaza hapa, walijua uwepo wa hiyo tipper?
Yaani Uswahili na biashara hasa hizi za mtandaoni ni sawa na maji na mafuta. Na Waswahili sisi bado tuna safari ndefu ajabu!
Ukianza mwanzo utaona nani mwenye shida mi sijaweka bei kwa maana yangu wewe kwako iwe kosa,mbona waliolisoma hili tangazo ni wengi tu wako kimya sasa hawa wachache wao ndio wanajua sana biashara ya mtandao ? Mi nashauri kama kama tangazo halina umuhimu kwako achana nalo
Soma kuanzia mwanzo nilisha jibu ,halafu Hiyo lugha uliyo changanya siijui haujanitukana kweli ?Kwa hiyo wenye shida ni hao prospective customers na siyo wewe unayeuza? This is Luushu's new model of business na napendekeza ianze kufundishwa katika vyuo mara moja.
Na maadam umeweka tangazo hapa kwenye public basi ni haki kwa wateja wako (watarajiwa) kuhoji na kuuliza maswali. Huwezi kuweka tangazo halafu tena uwaambie prospective customers eti waachane nalo. Liondoe basi kama halina sababu ya kuwepo. Mkanganyiko eeeh!?
Haya mkuu. Endelea na biashara yako. Good luck and be blessed!Soma kuanzia mwanzo nilisha jibu ,halafu Hiyo lugha uliyo changanya siijui haujanitukana kweli ?
Kuna mataepeli wengi wanatafuta namba za simu za watu kwakupitia kwenye matangazo kisha wanaanza kuwatumia msg ya umeshinda zawadi nk kumpigia mtu simu ni hatu ya mwisho kabisa Tangazo ukiliangali jamaa ajulikani yuko mkoa gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama huwez kuweka bei hapa bac tutolee hilo ngarangara hapa
Imekuwa Scania ToplineAmesema bei yake ni milioni 99!
Tipa bado ipo leo wateja wawili wamekuja kuiona wameenda kujipanga
Mnao subiri bei hapa endeleeni kusubiri tu.
Atakuwa naye dalali tuUmemshauri vema sana lakini anaonekana si muuzaji.
bado kuna kitu sielewi ...unauza kitu chako mtandaoni bei unaficha kwanini? bei ni kitu kimoja wapo katika vitu vingi ambacho mteja anaangalia kwenye tangazo akiona anaweza ndio anapiga simu kuhoji zaidi etc