Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Gari aina ya Suzuki Swift lenye namba za usajili T 269 BST linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri, limetembea km 54,970 tu na limeingizwa nchini kutoka Japan mwaka 2011. Limekuwa likitumika D'Salaam kwa kwenda kazini tu. Bei ya kuanzia ni Tsh. 6,500,000/= ila maongezi yapo. Piga simu 0769849194 kwa mhitaji, mtaka maelezo au ufafanuzi zaidi.









