Gari super custom inauzwa dodoma bei 3.5 milion

Gari super custom inauzwa dodoma bei 3.5 milion

cecil dom

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
47
Reaction score
11
Gari aina ya noah super custom ipo vzur haina tatizo lolote inauzwa kwa sababu kuna hela inahitajika kwa haraka bei ni 3.5 milion
Gari ipo dodoma maeneo ya kikuyu
Mawasiliano 0692477837 au 0713894662
IMG_20190731_120652.jpeg
IMG_20190731_120557.jpeg
IMG_20190731_120424.jpeg
IMG_20190731_120421.jpeg
IMG_20190731_120418.jpeg
IMG_20190731_120410.jpeg
IMG_20190731_120349.jpeg
IMG_20190731_120335.jpeg
IMG_20190731_120328.jpeg
 
Sidhani kama engine ina power.. hiyo gari si 3.5 at a kw harakati ya kufungwa jela
 
Hii gari unainunua kwa 2my unabadilisha injini name kuipeleka bodies haizid 3m....JUMLA 5m
 
Back
Top Bottom