O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,318 Jun 7, 2016 #1 Gari pickup iliyokatika hali nzuri inahitajika. Bei iwe ya kawaida kwa sisi wa hali ya chini Nawasilisha
Gari pickup iliyokatika hali nzuri inahitajika. Bei iwe ya kawaida kwa sisi wa hali ya chini Nawasilisha
FM stereo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2011 Posts 206 Reaction score 123 Aug 20, 2016 #2 pikapu ni ghali kuliko hizi station wagon,,,,kuna double cabin iko soko,,,22mil negotiable