Gari nzuri ya bei ndogo ya kutembelea

Gari nzuri ya bei ndogo ya kutembelea

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,318
Wakuu heshima zenu,
Inahitajika gari ndogo ya bei ya kawaida ya kutembelea, mwisho 8m.
Nawasilisha
 
nina kihonda kidogo cha kazi mkuu, namba D, Price 5.5M
 
Wakuu heshima zenu,

Inahitajika gari ndogo ya bei ya kawaida ya kutembelea, mwisho 8m.


Nawasilisha
Iko Raum "New Model" YOM 2003, No CF.., all systems ok, duties paid.
 
Kama yakumvua mtu basi vuta mark II gx 110 engine ya vvti 2000 beam ya cc 1990......ukoshindwa hapo basi kajipalinge na brevis tu

Caution
Usiogope mafuta bali angalia na usalama wako pia
 
Ongeza 3M nikupe Toyota Avensis, engine ya vvti hautojuta milele. Namba CV
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom