Kwa wakazi mbeya, ninayo Gari Noah, nzima , hausumbui, no C, natafuta watu Wa kuwakodishia wanapokuwa na safari zao za pamoja kuanzia MTU mmoja hadi 7 kwenda sehemu yoyote ndani ya jiji la mbeya, mfano kazini kwenda na kurudi,; nje ya jiji mf Kyela, tukuyu, chunya, Mbozi, ileje na Tunduma.
Gharama maelewano tu. Dereva atatoka kwangu.
Inawezekana pia kubebea mizigo myepesi lakini bila abiria wengi.
Napatikana Forest.
Nicheki 0687072066