Habari wadau wa JF.
Ninahitaji gari ndogo (saloon) ya kutembelea. Sina uchaguzi sana maana ninahitaji bei isiyozidi milioni nne (4,000,000/=). Pia ingekuwa corolla itakuwa vizuri zaidi.
Kama kuna yeyote anayeweza kusaidia upatikanaje tafadhali niPM.

Mkuu unapenda sana Kwenda Garage inavyoonekana, I guarantee you gari ya Million 4, utakuwa mgeni mzuri sana wa garage after 4 montfhs, Lakini labda na wewe ni fundi!
Ni pm-nikupe specs,ninayo na nakupa guarantee ya engine na viambatanavyo nayo ya 10 month. Hata kama utaitumia kwa taxi utakuwa umerudisha pesa yako i.e 400K/month.
Don't be excited, kuwa mwangalifu uwapo barabarani. Na cha msingi usiendeshe ukiwa umelewa, Taifa linakuhitaji haswa kipindi hiki tunachopambana na mafisadi. Na jua kwa aina ya gari ulilonunua wewe si fisadi hata kidogo. Big up broda!