Gari ndogo ya kutembelea inahitajika

Braniac

Senior Member
Aug 17, 2010
151
6
Habari wadau wa JF.
Ninahitaji gari ndogo (saloon) ya kutembelea. Sina uchaguzi sana maana ninahitaji bei isiyozidi milioni nne (4,000,000/=). Pia ingekuwa corolla itakuwa vizuri zaidi.

Kama kuna yeyote anayeweza kusaidia upatikanaje tafadhali niPM.
 
Mtafute jamaa mmoja humu ndani anaitwa Kitomai.
 
Mkuu unapenda sana Kwenda Garage inavyoonekana, I guarantee you gari ya Million 4, utakuwa mgeni mzuri sana wa garage after 4 montfhs, Lakini labda na wewe ni fundi!
 
Ni pm-nikupe specs,ninayo na nakupa guarantee ya engine na viambatanavyo nayo ya 10 month. Hata kama utaitumia kwa taxi utakuwa umerudisha pesa yako i.e 400K/month.
 
Unless unamjomba anakuuzia but if is a folk from nowhere for sure utachezea greese garage mpaka ukome
 
Ameshapata, si unaona yuko kimya! Mjini hapa, sasa hv huenda yuko garage?
 
Nashukuru sana kwa michango yenu wote na hasa wale walioni-pm. Nimepata nilichokuwa nahitaji.....JF oyeeeeeeeeeeeee
 
Don't be excited, kuwa mwangalifu uwapo barabarani. Na cha msingi usiendeshe ukiwa umelewa, Taifa linakuhitaji haswa kipindi hiki tunachopambana na mafisadi. Na jua kwa aina ya gari ulilonunua wewe si fisadi hata kidogo. Big up broda!
 
Back
Top Bottom