Wadau, mwenye gari ndogo (salon car) manual, iliyo katika hali nzuri kabisa inahitajika. Iwe imelipiwa ushuru na nyaraka zote muhimu.Iwe ni gari yenye ubora na kiwango na si bora gari. Mimi nipo Dar es Salaam, hivyo nitapendelea gari ipatikane Dar es salaam iwe rahisi kuikagua na kuitest. Kama unayo tafadhali tuma picha kwa Whatsaap ktk no 0778 101177, pamoja na details zote. Asante!