hawatakusikia kwwani itaharibu deal za watu kibao wenye mabasi na malori ya mizigo kwa kushusha nauli kwa abiria na gharama za uchukuzi mizigo. wanaonufaika na na treni ni maskini sisi, ila mfumo uliopo wanaifaidi kisawasawa wenye meno kwa maana ya mabasi na mallori ya mizigo