dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,192
- 4,310
Nauza Kiwanja Changu Kigamboni - JamiiForumsHii sasa dharau mkuu,laki 9 kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
ana hasira huyo fuatilia uzi wake.
Nauza Kiwanja Changu Kigamboni - JamiiForumsHii sasa dharau mkuu,laki 9 kweli
Hahahaha yaani hizo picha anavyopiga utadhani anampiga picha Mama Mkwe wake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] duhChukuwa 6 K MKUU,, shida yangu ni MABATI nitengezee MAJIKO ..,.gari hakuna humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuku 1.6fastaNauza hili gari Mil. 3.9
Ubora wa hali ya juu... Nicheki 0684223374
Yani mkuu umesema ukweli kabisa kuna watu hapa kejeli nyingi unaweza fikiri wana kula bata kumbe viatu vimeishaukifatilia maisha halisi ya walio toa kejeli unaweza cheka upasuke
NB: mmoja wao namfahamu na khali yake ya maisha naifahamu ila tambo zake hahahahhahahah!
Chukuwa 6 K MKUU,, shida yangu ni MABATI nitengezee MAJIKO ..,.gari hakuna humo
Sent using Jamii Forums mobile app