U umla JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 1,166 Reaction score 558 Oct 27, 2016 #21 karume kenge said: Kaka kwa hizo bei ni ngum kuganya biashara hasa no za gari Click to expand... Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu
karume kenge said: Kaka kwa hizo bei ni ngum kuganya biashara hasa no za gari Click to expand... Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Oct 27, 2016 #22 Bado tunasubiri bei
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Oct 27, 2016 #23 Kig said: hata picha tu huna Click to expand... Mmeambiwa zilikuwa hazitumiki sasa picha atatoa wapi???
Kig said: hata picha tu huna Click to expand... Mmeambiwa zilikuwa hazitumiki sasa picha atatoa wapi???
M mwako Senior Member Joined Jul 11, 2015 Posts 137 Reaction score 89 Oct 27, 2016 #24 umla said: Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu Click to expand... Mimi niliuziwa gari namba B na mtu fulani,yeye akanunua gari nyingine namba D,sasa hivi gari yangu namba B ina hali nzuri kuliko yake namba D
umla said: Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu Click to expand... Mimi niliuziwa gari namba B na mtu fulani,yeye akanunua gari nyingine namba D,sasa hivi gari yangu namba B ina hali nzuri kuliko yake namba D
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Oct 27, 2016 #25 Zilikuwa hazitumiki sana,kwani gari ni condom? ????
Anthony Paschal JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 513 Reaction score 12 Oct 27, 2016 #26 Yan huyo ni dalali hata yy hizo gari hazijui ndo maana anakuja bila detail, kaambiwa zilivyo ndo akaja mbio kunadi, haaaaa
Yan huyo ni dalali hata yy hizo gari hazijui ndo maana anakuja bila detail, kaambiwa zilivyo ndo akaja mbio kunadi, haaaaa
karume kenge JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 568 Reaction score 423 Oct 27, 2016 #27 umla said: Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu Click to expand... Ni sawa kaka unayo sema lakin wengi huangalia yy akitaka kuuza wengi hununua nomber
umla said: Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu Click to expand... Ni sawa kaka unayo sema lakin wengi huangalia yy akitaka kuuza wengi hununua nomber