jay bizness
Member
- Oct 19, 2016
- 91
- 44
Weka pichaGARI MBILI ZIKO SOKONI
CARINA TI NAMBA A ILIKUA HAITUMIKII SANA ILIKUA INAPAKI NDANI MUDA MWINGI M 6.8 BADO IKO VIZURI
VITZ OLD MODEL NAMBA B ZOTE ZILIKUA HAZITUMIKII SANA M6.5 BEI ZIKO FIXED MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI 0719702658 AU 0628353336 UTANIPATA
Ukimwita mjinga ataona unamuonea.Ilikuwa imekaa ndani tuuu muda mwingi, hivi ndivyo biashara hufanyika? no pic, no any detail, kukaa ndani ndio sifa zakee? Elimu elimuuuu
GARI MBILI ZIKO SOKONI
CARINA TI NAMBA A ILIKUA HAITUMIKII SANA ILIKUA INAPAKI NDANI MUDA MWINGI M 6.8 BADO IKO VIZURI
VITZ OLD MODEL NAMBA B ZOTE ZILIKUA HAZITUMIKII SANA M6.5 BEI ZIKO FIXED MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI 0719702658 AU 0628353336 UTANIPATA
poaa wait kakaTupiamo picha
ntaweka mkuuPicha zimekushinda kuweka??
beii hyo sidhani kama kuna ubaya wwt inaweza kuwa namba c lakini imechoka kuliko namba a c cio tatzoo tatizo uzima wa gari af nkushauri na ww pia siku watu wananunua palte namb na vbali vya gari kuwa makini kiongoziiii uckurupukeHIZO Vitz fikiria tena bei ya kuuza,maana Mimi hapa nimeletewa Vitz reg # c Ziko vizuri wenyewe wanauza 5.5...ushauri TU kwako
OVA
acheni dharau hakuna aliosema kukaa ndani ni sifa bali katika detail ya muhimu ni hyo coz kuna tatzo linaweza tokea kwa kuiweka ndani na vile vile kuna faida zake nakupa details hzo na pia siku hzi kuna beauty camera hyo gari ukiitazama kwenye picha ukija iona unaweza kataa sidhani kama elimu inahusika hapa kiongoziiii acha dharauuu sawa we elimu imekupeleka wap mpk ssIlikuwa imekaa ndani tuuu muda mwingi, hivi ndivyo biashara hufanyika? no pic, no any detail, kukaa ndani ndio sifa zakee? Elimu elimuuuu
Hii biashara mkuu Mimi ni Master usijali...beii hyo sidhani kama kuna ubaya wwt inaweza kuwa namba c lakini imechoka kuliko namba a c cio tatzoo tatizo uzima wa gari af nkushauri na ww pia siku watu wananunua palte namb na vbali vya gari kuwa makini kiongoziiii uckurupuke
ni vizuriii mkuuuu bhc tuchekian kama vipiii ncheki hapo 0628353336Hii biashara mkuu Mimi ni Master usijali...
Asante kwa ushauri lkn.Kila la heri ktk biashara yako
OVA
Kaka kwa hizo bei ni ngum kuganya biashara hasa no za gariGARI MBILI ZIKO SOKONI