gari linauzwa

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Habari wanaJF,
Nauza hili gari,ni Nissan presea(refina) ya mwaka 1996,imetembea kilometer 120,000 ,1500CC engine,ni automatic,ina alloy rims,music system nzuri,a/c,driver and passenger airbag,power windows,power steering,power door locks na mirrors.excellent condition,one user.petrol, imelipiwa kila kitu(insurance,road licence), mnunuzi pia atapata fire extinguisher,jeki,wheel spanner,spare tyre.
Bei ni 6M za kitanzania
Unaweza ukaja na fundi wako kulikagua,au garage yeyote kwa ajili ya ukaguzi.


Kwa maelezo zaidi ni PM
Au Contact:

Terry F:0714-744-552
View attachment 53561View attachment 53562View attachment 53563View attachment 53563
 
spea zinapatikana,na zinadumu sana,ila bei ndo ipo juu.spea zinapatikana.ukitaka kitu kizuri kigharamie.na kama unakipenda,utakilinda.
 
nadhani ni kama 20 hivi,ila uwe na documents zote,kwa case ya hili gari valid documents zote zipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom