Gari limemzingua bi Dada wa watu!

Mm siyo fundi magari, labda anipe vitu vingine nitengeneze.
 
Gari zuri, alafu kama jipya vile!!!!!
[emoji23][emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kwamba hajavaa chupi ni kwamba imepita katikati.
 
angekuwa mwanaume angeshasemwa ni wa huku kwetu mikoani. sasa huyu tumweke kundi gani! watani zetu karibuni
 
wako wap wale wanaosema watu walikuwa wanatembea kwa miguu minne?kuna kitu wanataka kutuaminisha....
 
Engine imechemushaa!... imebidi afungue bonet ipate hewaa!... Ipoe... Hii mitego ya hivi hamtushiki!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…