'hawa madereva si ndio huwa wanatafutwa wenye vigezo vyote kabisa?,uwe na vyeti vyote kabisa?,uwe umesoma kifluenti na trade test zote uwe umemaliza si ndio?,au ile ya gazetini inakuwa ni geresha tu nafasi anakuwa amepewa mwingine nini?,look at that shit bila bima kichwa lazma kiume na huyo dereva hapo kazi ndo imeshaota nyasi aisee kama uzembe ni wake...'