Gari la tsh 4.7 milioni!

Gari la tsh 4.7 milioni!

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
Narejea tena kutafuta gari la kununua. Mara hii ni kwa ajili ya jamaa yangu .
Amependa jinsi nilivyotumia JF kupata gari zuri tena kwa bei nzuri,mpaka leo nadunda nalo safiiiiii.

Sasa jamaa yangu huyu amenikabidhi 4.7 M tasilimu. Anasaka gari.si unajua foleni ya dar jamani na kash kash ya ma DCM.

Mwenye nalo aweke hapa specification zake .
Aina ya gari na mwaka ni yoyote iliyo katika hali nzuri. Wenye mawazo ya kukatisha watu tama a.k.a MICHEPUKO ,wakae kando

ANGALIZO Itakaguliwa na wajuzi wa magari kabla ya kukupatia fedha
Karibu
 
Ongeza iwe 5M nikupatie langu https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/650062-verossa-inauzwa.html
 
ImageUploadedByJamiiForums1403538428.799086.jpgImageUploadedByJamiiForums1403538703.484187.jpgImageUploadedByJamiiForums1403538770.125102.jpg
Nauza daihatsu sirion (Toyota Duet) nataka 4m tu njoo na fundi wako

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom