Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,619
KabisaAjali ni kawaida kwenye vyombo vya moto
Ukisema waliweza ni kama walikuwa wakifanya jitihada na kujaribu mara kadhaa kutaka kupoteza maisha hadi wakaweza kupoteza maisha yao(kufariki).waliweza kupoteza maisha
๐๐ SahihiKabisa
๐jiji la Toronto nchi ya Italian
Kiswahili cha Wabongo kinachekesha... ๐Ukisema waliweza ni kama walikuwa wakifanya jitihada na kujaribu mara kadhaa kutaka kupoteza maisha hadi wakaweza kupoteza maisha yao(kufariki).
Hana data uyo kama katumwa tu vileWeka na takwim za ajali zilizo sababishwa na hiyo Tesla kwa mwaka ili tuchukue tahdhari kwa uzito kidogo