Gari la Polisi na kreti za bia

Kwani polisi sio watu banaaa? Nao wana haki ya kukata kiu pale panapostahili, pia hiyo kazi ya kubeba makreti ni mojawapo wa matumizi ya pick-up vehicles!

Pia inawezekana hizo crates ni evidence zinahamishiwa kituo husika, you never know, sasa kwanini utoke povu mkuu?
 
Baada ya kazi ni wakati wa tusker!tangazo linajieleza,wacha nao wagide ugimbi!
 
Police, JWZT, Magereza nk. wana sehemu zao za starehe, na vinywaji ni bei poa kabisa!! sioni ajabu gari la polisi likibeba bia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…