Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Kwenye baa nyingineza kawaida makampuni ya bia husambaza vinywaji kwa kutumia magari yao. Kwa nini hawawapelekei na polisi kwenye kantini zao?Ninavyojua majeshi yote yana kantini zao ambazo huwa kuna vinywaji mbalimbali kwa bei nafuu na wana magari,labda mleta mada ashauri njia nyingine ya usafiri ya kuleta vinywaji kambini.
hahahahaaa!!!! Chezeya koromeo kukauka wewe, halafu lipatemo taska bardiiiii!!!hata wao wana kiu jamani....hasa matrafiki jua lote barararani.....makoromeo yanakauka ujue.....
pateni tusker mapolisi.....mtu asiwazengue......alaaaaa....
Kwenye baa nyingineza kawaida makampuni ya bia husambaza vinywaji kwa kutumia magari yao. Kwa nini hawawapelekei na polisi kwenye kantini zao?
Hebu tujiulize jamani to
be sincere hii inaleta picha gani mbele ya jamii ya WaTZ kuona gari la
doria la polisi likiwa limebeba Bia au Vilevi? Whats implication?
Ingekuwa bia ni mojawapo ya products za Jeshi la polisi isingekuwa
tatizo kwani lingeonekana lipo kazini ila hapa Polisi wanajitanabaisha
kama CHA POMBE.
Hebu tujiulize jamani to be sincere hii inaleta picha gani mbele ya jamii ya WaTZ kuona gari la doria la polisi likiwa limebeba Bia au Vilevi? Whats implication? Ingekuwa bia ni mojawapo ya products za Jeshi la polisi isingekuwa tatizo kwani lingeonekana lipo kazini ila hapa Polisi wanajitanabaisha kama CHA POMBE.
Nilikutana nao Ijumaa likitokea pande za Tegeta, nilifuatrana nalo nikiwa nyuma yake mpaka Ubungo mataa
[/QUOTEView attachment 62375]
Si Cruiser kwa mtindo wa Defender hilo?
Na sikukuu hii naona watuhumiwa watakunywa sana huko selo!
Ni mojawapo ya motisha kwa askari wetu.