Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,085
- 38,460
- Thread starter
- #41
huo ni utaratibu wao, kukagua magest yote, hairuhusiwi chumba kuzidi watu zaidi ya wawili, sasa hawa madem zako huwa wanajazana humo kufanya biashara zao,
ooh wakishakagua ujira ndio alfu tano mpwa ama kumi??samahani kukugusa naulizia tu
unajua kwanini nimesema hivi wale madada wakilambwa feki wanakuja kulipa lodge feki
so na nyie mkichukua muwe mnaziangalia pia else ni mimba asbh