loh
katiba.ya sasa airuhusu tusubiri mpya mkuu
hata wale.wa ndimi ni uhaini kupata.picha kama ile..ndio.maana wamewarusdisha.kazini
bado wapo.njoo mapambano n pm
wanaingizwa kwenye.gar
wanaachiwa kwenda mabatini ama??
lo lingine wako na noah moja ya kituo cha polisi sinza hii inapita kila lodge wanapewa buku tano.mpaka kumi
wakipewa.buku tatu.wanamchukua.mwenye. Lodge to mabatini sijui jeshi wanajua hilo
mpwa usijaribu ukionja mmoja akuna tofauti na deo
kalekamchezo.cha kuchungulia wenzako wana.do
nikiwa na research moja nilishtuka kuona gar.ya.mfanyabisshara mkubwa tu dar nilipouliza nikambiwa jamaa anatoa buku 5.anaruhusiwa kuchungulia kwenye madirisha uamini nenda kwa babu manywele wamechana mpaka mapazia kupiga deo
inabidi.ukienda n gf wako uwe na soletepu tena nyeusi unabandika walipochana
hii ni true story jamani nilikula hela sana na hawa waswedesh tena wengine wanawalipa madada wanakaa kuelezea shida zao na jinsi wanavyozihakiwa
ulikuunajua usiku mzima wakipata.lakimbili
laki nzima ni feki??so sad nk..nisijeanzisha somo
We noma sana mapambano hakuna chakula mpaka Afrikasana?
wapo mpaka.sasahivi niko upande wa pili sijui leo wameamua kukamua wote wenyewe
mkuu wa polisi mabatini embu kawatoe bana tutapiga.simu kwa wakubwa
Ni mwendo wa kuwachongea tu ha ha ha....ukichukua rushwa, ukifumaniwa, ukivunja maadili ya kazi jf ipo!! ha ha ha ha
NASIKIA WAMERUDISHWA KAZINI WALE ;- :-
Africa sana hasa conner bar ambiance ndo kuna chakula tofauti....mchanganyiko....Dar nzima inajua hili....hasa nayakati za usiku.....unapata mpaka chakula cha roho....!Sema hawa police kwa nini wasilipe km sisi wateja wengine?