Gari la maharusi,maids na wageni wengine.

Gari la maharusi,maids na wageni wengine.

kinojet

Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
25
Reaction score
15
Tunakodisha gari jipya kabisa aina ya Toyota alphard kwa ajili ya kubeba maharusi,maids na wageni wengne wanaohitaji usafiri wa dar na kwenda nje ya dar bei ni nafuu kuanzia 250000/= kwa siku bei itapanda kulingana na umbali wa sehemu husika kwa mawasiliano tupigie kupitia namba zifuatazo,0715808028 au 0782541918 wote mnakaribiswa.
 

Attachments

  • IMG-20170623-WA0010.jpg
    IMG-20170623-WA0010.jpg
    49.4 KB · Views: 63
  • IMG-20170623-WA0010.jpg
    IMG-20170623-WA0010.jpg
    49.4 KB · Views: 53
  • IMG-20170623-WA0012.jpg
    IMG-20170623-WA0012.jpg
    52.2 KB · Views: 45
  • IMG-20170623-WA0014.jpg
    IMG-20170623-WA0014.jpg
    49 KB · Views: 58
  • IMG-20170623-WA0015.jpg
    IMG-20170623-WA0015.jpg
    38.2 KB · Views: 47
  • IMG-20170623-WA0019.jpg
    IMG-20170623-WA0019.jpg
    43.3 KB · Views: 48
Msimu huu wa Magu kuna harusi kweli?


Kazi njema lakini.
 
harusi zipo ila wengi wanatumia magari ya ndugu, jamaaa na marafiki zao..

tuna noah mpyaa ila wateja wa maharusi hawaonekani kabisaaa
 
Kumbe langu pia naweza kulikodisha nitalifungulia uzi khaa
 
Back
Top Bottom