Gari la kukodisha arusha...

Gari la kukodisha arusha...

miagie

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
215
Reaction score
76
Poleni kwa shughuli za kujenga Taifa wana jamvi.
Nipo Arusha nahitaji gari la kukodisha kwa siku moja(jumamosi jioni hadi jumapili mchana 17-18 may 2014)
kama unatoa huduma hii au unaweza nisaidia kwa information yoyote naomba nitafute PM au weka hapa jamvini.
naomba kupewa vigezo na masharti ya kupewa huduma hii....
ahasante.
 
Me ninayo spacio new model kwa hiyo siku moja nitakukodisha kwa tsh 150,000/= kama upo vizuri tupia no zako hapo tuwasiliane
 
Back
Top Bottom