[emoji15][emoji848][emoji15][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]Mkishamaliza kunyetoka mnakua na fujo sana vijana
[emoji23][emoji23] mabaharia wenzangu... Acheni tu lakini wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petrol au diseal.
Bro kaniachia gari lake yey yupo nje kikaz toka mwezi march mpaka sasa navyoandika uzi huu. Cha ajabu madem hawachomoi sio wake za watu wala wanachuo wala wakina mwajuma ndala ndefu. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kunakitu waliongea kuhsu gari. Au mtalam Zero IQ unasemaje.
Uo ni ujinga unaou uongea bila aibu[emoji23][emoji23] mabaharia wenzangu... Acheni tu lakini wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petrol au diseal.
Bro kaniachia gari lake yey yupo nje kikaz toka mwezi march mpaka sasa navyoandika uzi huu. Cha ajabu madem hawachomoi sio wake za watu wala wanachuo wala wakina mwajuma ndala ndefu. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kunakitu waliongea kuhsu gari. Au mtalam Zero IQ unasemaje.
Kama ni hivyo sio gari ndio linakupa marks ni kwa kuwa unawatongoza. Kama vp acha gari ila endelea kutongoza utaendelea kuwapata tuUjasli wa kuwasound kipnd hich ni 4g
Kunyetoka ni nini?Mkishamaliza kunyetoka mnakua na fujo sana vijana
Piga nyingine mkuu uje na uzi mwingine,umemkamatia rihanna[emoji23][emoji23][emoji23]Kiajee baharia....
Kupiga makono bao[emoji41]Kunyetoka ni nini?