Gari kubwaaa

Mtume hilo fulushi ka kiloba cha harage
 
hapo mpaka uitafute 0713 mpaka uwe umenyanyamia
 
Wazee wa magari makubwa weekend njemaaa
 

Attachments

  • 67324_220372794776190_2008392167_n.jpg
    8.9 KB · Views: 1,347
Ukitaka kuli endasha lazma uhakikishe ume pata ile tiba ( pilipili, chunvi, limao ) laasivyo unaumbuka
 
magari kama hayo ajali kila wakati barabara zenyewe problem
 
hiyo ya kwanza kilaini cha tigo kipo mbali usawa wa marangu na kiboriloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…