M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 24, 2015 #41 Amavubi said: mchina na quality wapi na wapi Click to expand... Angalia CCTV uone.
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Feb 24, 2015 #42 gari la kurushiwa matangazo ya ccm na kuipigia debe katiba ya ccm. View attachment 229175
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 Feb 24, 2015 #43 Mwanapropaganda said: Milionea ndio kuwa na mihela isiyohesabika? Kwanini hukusema ni bilionea au trilionea? Click to expand... Mkuu kibongo bongo Bakhressa ni billionea ila ukienda kwa terms za $ anakuwa ni millionea..
Mwanapropaganda said: Milionea ndio kuwa na mihela isiyohesabika? Kwanini hukusema ni bilionea au trilionea? Click to expand... Mkuu kibongo bongo Bakhressa ni billionea ila ukienda kwa terms za $ anakuwa ni millionea..
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,497 Reaction score 21,225 Feb 24, 2015 #44 Yaani nimeona tu nikajua itakua msaada toka China.na kweli,sijui lini tutajifunza kujitegemea msaada mpaka kwa vitu vidogodogo km hivi ni aibu
Yaani nimeona tu nikajua itakua msaada toka China.na kweli,sijui lini tutajifunza kujitegemea msaada mpaka kwa vitu vidogodogo km hivi ni aibu
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,200 Reaction score 27,383 Jan 28, 2016 #45 Wanakopa kwa riba kibwa magari ya kurusha matangazo LIVE, halafu wanasema kurusha matangazo LIVE ni gharama
Wanakopa kwa riba kibwa magari ya kurusha matangazo LIVE, halafu wanasema kurusha matangazo LIVE ni gharama