Gari IST inatafutwa

Gari IST inatafutwa

owino

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
34
Reaction score
14
IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM
 
IST ndio nini mkuu!? International School of Tanganyika.... Institute of Satans Tanzania!!????
 
  • Thanks
Reactions: MC7
IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM
Mbona hujaandika ni ya mwaka gani, au rangi gani, imesajiliwa au haijasajiliwa...imeibiwa wapi nk
 
We we ni mnunuzi au ni mtu wa Kati?
 
Ni inbox namba yako nkupe anataka nkupe namba ya jamaa yangu anayo ist ya mwaka 2003,km 98000,tangu dark blue...gari iko dar...anaiuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom