Gari inauzwa

Gari inauzwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Gari inauzwa aina ya toyota carina, haina tatizo kwa hio hai taji matengenezo, kama ulikuwa unatafuta gari njoo uiangalie hii hakika utaridhika nayo
Ipo victoria karibu na hospitali ya kairuki
Kwa mawasiliano piga 0716 85 06 95
Bei yake ni shilingi milion 4 ukiridhika na gari bei tutaongea
 
Where the hell are the pictures? The same issue we are talking about always.

BTW, this is not the right forum for your thread.
 
Tangazo linalohusu kuuza gari PICHA ni muhimu zaidi!
 
ya mwaka gani,imetembea km ngapi, n.k
Picha muhimu
 
Weka Picha au Unapiga Mnada!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hata bila picha angeweka specification za kutosha kama ni carina TI ya mwaka gani, imetembea km ngapi ina milango mingapi inatumia wese gani n.k hatuoni wenzetu wa japani wanachokifanya jamani aaaagh bongo kweli tuko nyuma husije kutuuzia carina ya mwaka 1980 bure
 
Katuwekea namba ya simu, tumpigie tuyajua hayo mengine .
 
Back
Top Bottom