Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,303
- 2,079
Hapo ni kununua ugonjwa gari imeingia toka 2008 mpaka leo miaka mi nne bado unauza milioni 6.9? hebu tuambie wakati inaingia ulinunulia bei gani ili tuweze piga depreciation, we unataka kutuuzia gari kama kiwanja bhana?
Hilo gari bora angeuza scrapper lingepata mnunuzi au abahatishe mshamba asiyejua gari