Gari inauzwa: Toyota Passo,12 mil

Gari inauzwa: Toyota Passo,12 mil

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
2006 model , 87,000km, silver color, broad rim. Price 12ml...ipo arusha...contact: 0755-288886 ImageUploadedByJamiiForums1394297873.009944.jpgImageUploadedByJamiiForums1394297951.074925.jpg
 
Passo for 12m
Are you for real?
 
Mkuu sipo kukuharibia soko ila jamaa yangu anayo passo anasema mtu akifika 8m anamwachia. Tofauti ya 4m ni kubwa sana.
 
Tafuta wateja wasio jua kuagiza gari nje ya nchi hii bei ya wapi
 
kwanza gar yenywe ni silver hujui hyo rang hta japan gar ikiwa whte/silver inakuwa cheap?
 
Kuna web inaitwa zoomtanzania inaonesha wagari yanayouzwa hapa bongo, nimeziona gari kama hiyo kama sita zinauzwa na hakuna iliyovuka mil 9 ni kuanzia mil 6 mpaka mil 9, hyo mil 12 ni bei ya verrosa, mark II grande gx 110
 
Hiyo gari ukiiagiza mwenyewe na kila kitu ni Tshs 6.7mil.
 
SUPERUSER wewe ni dalali au owner?
Na umeagiza mwenyewe toka nje?

inawezekana wadau wanakuzonga kumbe maskini hata hujui unachokifanya!
 
Last edited by a moderator:
Passo milion 12? Hata 7 mi sikupi

Mkuu hio passo ni tofauti na zile passo ndogo...angalia hata taa zake ni tofauti...ushuru wke ni 3.6...anyways ndo mana nikasema price is negotiable coz kuna watu wamefika offer zaid ya io 7 mil unayosema
 
Mkuu hio passo ni tofauti na zile passo ndogo...angalia hata taa zake ni tofauti...ushuru wke ni 3.6...anyways ndo mana nikasema price is negotiable coz kuna watu wamefika offer zaid ya io 7 mil unayosema

Weak point,
Taa ndo zimepelekea uuze 12Mil?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom