Hivi ulielewa niliposema price is negotiable?au unataka kuonekana umecoment
Hata kama umesema NEGOTIABLE but sio kitu cha 7mil ukaanzie 12mil, kisa kuna negotiations!!
Hivi ulielewa niliposema price is negotiable?au unataka kuonekana umecoment
Ingia be forward halafu kacheck na calculator ya TRA halafu rudi tena na hiyo bei yako ya ajabu. kwanza kigar chenyewe kinarukaruka barabarani ka chura.!