Gari inauzwa, range rover 20 milioni tu.

Gari inauzwa, range rover 20 milioni tu.

Tunaenda kwa strategies,RR sports/Vogue kwangu bado sijaziweka kwenye malengo yangu,mie nataka kuwa na Land Cruiser Prado kama ya Diamond in 3yrs 2come inshallah,Range kama ya Davis mosha after 7yrs inshallah.

Safi sana mkuu, RR "Sposts" mimi haipo kwenye malengo yangu kabisa mkuu, lakini mwezi wa saba mwakani nahtaji Navara, 5Months baadaye a Disco 3, then after I'll go for a eVogue, tatizo kuuza kwingi!lol
Kwanza hebu nigongee kura hapa http://www.facebook.com/pages/Be-Fo...4215148?=f4g39x&ref=ts&sk=app_112813808737465, nipate kabajaji ka bure, nataka nikauze nipate vijisenti!
 
weka full info.....ya mwaka gani??1995-2001 range rover p38.....kwanini mpaka nikupigie kuuliza basic info??
ni ya mwaka 1999
 
Back
Top Bottom