Gari inauzwa: 6 million Prado Landcruiser II (AEV)

Gari inauzwa: 6 million Prado Landcruiser II (AEV)

Inawezekana kweli.
Hizi gari sio siri mie mwenye muundo,sura yake siipendi.Na ndio maana sio nyingi hata mitaani.Zimekaa kama vile za kishamba,na hata uipambe vipi ipo kama dagaa tonge.Dash board lake linachekesha kweli,utafikiria redio za mbao za zamani yaani limepooza.Aisee

Bei itakuwa sawa.

dah! Unapondea kinoma mkuu sidhani kama mwenye tangazo atarudia tena kuweka item ya namna hii hahahahah..
 
Back
Top Bottom