Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
262
72
Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex)

Offer yangu Million 8.)

Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka.

Napendelea rangi hizi (black, dark blue au maroon iliyokolea weusi).

Lakini mwanzo nitumiwe picha na maelezo ya ziada kwa WhatsApp (0784355775)..( nikiridhika na muonekano wa gari ndo naweza kuja kulikagua.

Nipo Dar es Salaam.
 
Hizi gari za watu wa rangi nyeusi ambazo wanaweka oil fake za matractor pamoja na ATF fake kwenye gia box hata ukiniuzia Vanguard kwa laki tano sinunui.
 
Duh we una utani na maisha ya wabongo
Mkuu kwa mfano gari ambazo zinapaswa kuwekwa oil yenye viscosity ya 5W-30 wabongo wanaweka SAE40 kwa sababu ni bei chee kisha zikishaanza kufa engine wanakuuzia!😄😄😄
 
Kuna jamaa walikuwa wanauza vanguard milioni 7 instagram ila gari ukiiulizia kama upo Dar utaambiwa ipo Mwanza, ukiwa Mwanza utaambiwa ipo Arusha, ukiwa Arusha utaambiwa ipo Mtwara....unaambiwa ulipie haraka maana wateja wapo wengi🤸🤣
 
Back
Top Bottom