Ila uwe makini usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia kwa sababu mjini kuna wasanii kibao hata kama hawajatoa singo/albamu hata mojaGari inahitajika Mark II grand namb C iwe na hali nzuri cause itakua inasafiri mbali, kama ipo tuma picha kwa whatsapp number 0786 360 818 au piga simu.
mi nahitaji IST kwa bei ya 6m.
6m yote hiyo???
Fanya mambo na watu wa masoko wa ile kampuni ya simu inayotoa magari.
Kwa 3m tu unajichukulia gari.
Ila usitake makuu, kubali kua umelishinda kwa bahati nasibu.