Wajameni kampuni ya Lithotech Export ndiyo ilishinda tenda ya kununua bvr kit
Hawa pia ndio waliwauzia bvr kit tume ya uchanguzi ya Msumbiji, zikiwa ni pamoja na;
Computer
Camera
Finger print reader
na printer
Oda ya Tanzania na Msumbiji zinafanana kila kitu isipokuwa bei;
Tanzania $ 6,816
Msumbiji $ 4,286
TOFAUTI $ 2,670