Gari! gari! gari! inahitajika

Gari! gari! gari! inahitajika

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
241
Reaction score
132
Kaka yangu anataka gari, amenipa utaratibu huu
1. Gari aina ya Harrier, namba za usaji D, kiasi kisizidi 11m
2. Kama ni prado isizidi 14m na usajili D
3. Kama ni Kruger, isizidi 12m na usajili D

Sasa natangaza hilo ukiona gari katika range hiyo tafadhali itupie hapa. Fedha kwa kiwango kilichotokea ipo. Strictly katika kiwango kilichotajwa.

Maelekezo ninayopewa, endapo hakuna hivyo basi acha.

Karibu, acha matusi ni uwezo wa mtu alioufikia
 
WATANZANIA KWELI NI SHIDA duuuu..!

MTU AMEELEZA KILA KITU HAPO, LKN BADO UNAULIZA "gari mpya au nzee" HAKI NI SHIDA ASEEE...
mbona yuko sahihi maelezo haonyesha kama ni old model au new model lakini kwa bei hiyo lazima itakua tu old
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom